Wafanyabiashara
wadogo almaarufu Machinga, wakiwa wamevamia eneo lililopo pembezoni mwa
soko la Kilombero na kuvunja uzio na kujigaiya maeneo hayo kwa ajili ya
Biashara. kwani eneo hilo ambalo lipo kwenye mgogoro kati ya
halmashauri ya jiji la Arusha na mfanyabiashara mmoja wa jijini hapa,
kwenye mahakama ya biashara hajajulikana hatima ya kesi hiyo lakini
wafanyabiashara hao teyari wameshavamia eneo hilo. Endelea kupitia audifacejackson blogspot.Pichani
ni wafanyabiashara hao wakiwa kwenye shughuli mbali mbali za kuandaa
eneo hilo kwa ajili ya biashara na wengine teyari wamshapanga katika
eneo hilo kama walivyokutwa na kamera yetu jijini Arusha leo Asubuhi
TANZANIA NA NORWAY YAKUTANA KWA MASHAURIANO YA KISIASA
-
Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Ufalme wa Norway zimekubaliana kupanua
wigo wa ushirikiano katika Mkutano wa tatu (3) wa Mashauriano ya Kisiasa
uliofany...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment