skip to main |
skip to sidebar
HII NDIO CLUB YA SOKA ILIYOPIGA MARUFUKU WACHEZAJI KUFANYA TENDO LA NDOA ILI KUZUIA MAJERUHI.
.
Unaweza kuona kama utani lakini
jamaa wako serious kabisa, club ya soka ya Napoli Italia imepiga
marufuku kwa wachezaji wake kwamba wanatakiwa kutofanya tendo la ndoa na
wapenzi wao au wake zao siku mbili kabla ya mechi.
Daily Post wameandika kwamba
hiyo ni njia nzuri ya kuzuia majeraha ya misuli ambapo pamoja na
kuipitisha hiyo sheria, bado club hiyo kwa kipindi kilichopita imekua na
majeruhi wachache ikilinganishwa na club nyingine.
Wazo la kuiweka hiyo sheria
lilitoka kwa daktari mkuu wa Napoli Professor Alfonso De Nicola ambae
alikua akifanya interview na gazeti la Corriere del Mezzogiorno.
No comments:
Post a Comment