| Hapa akipima uzito.... |
| Nikiwa na Dallas baada ya kufika Hopitalin.... |
| Kiukweli nilishindwa kujizuia kulia,kutokana na hali ya mama jinsi ilivyokuwa. Hata Dallas alipojaribu kunipa ushauri tufanye nini juu ya hali ya mama sikuweza kumsikia..... |
| Nampenda sana Mama yangu na katika hali nisiyopenda kumuona nayo ni akiwa analia, nami sikuwa na jinsi nilishindwa kujizuia... |

No comments:
Post a Comment