Sir Juma kassim kiloboto Nature sasa kuweka pembeni Music na kufanya kazi ya Siasa ili kuweza kuwania jimbo la Temeke 2015 ili kuweza kuendeleza harakati zaidi za jamii kwa ujumla na kufanikisha mambo mbalimbali niliweza kutaka kuonana na Nature ili kuweza kuongea nae ila juu ya harakati hizi Mda ndio ukawa tatizo ila mpya juu ya harakati za nature katika siasa ntawapeni zaidi.
Maoni yako juu ya Nature kutaka ubunge,
WASHAURI WA WANAFUNZI WATAKIWA KUENDANA NA MABADILIKO YA KIDIJITALI
-
Na Oscar Assenga,TANGA
SERIKALI imekipongeza Chama cha Washauri wa Wanafunzi wa Vyuo Vikuu
Tanzania (TACOGA) kwa kuendelea kuandaa mafunzo yanayole...
4 hours ago


No comments:
Post a Comment