Mh JOSEPH Mbilinyi mbunge wa Mbeya kupitia ukurasa wake wa facebook, akionyesha furaha aliyonayo amejulisha uma kuwa amepata mtoto wakike aliempa jina la Sasha Desderia J. Mbilinyi.
"Amazing grace!..I thank GOD for giving me a baby girl born today on 26th Sept,her name is SASHA-DESDERIA J. MBILINYI..she is my new darling and my everything now...May God also bless me and her monther Faiza so we can live longer enough to see her grow..."
wishing you all the best na makuzo mema kwa mtoto wako
KISIWA CHA SAANANE CHAADHIMISHA 'BIRTHDAY' MIAKA 10 YA SIMBA
-
Simba wa Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya Taifa ya Kisiwa cha
Saanane akijiandaa kula keki maalum
Keki maalum kwa ajili ya Simba wa Hifadhi ya...
2 hours ago

No comments:
Post a Comment