Mmoja
wa mafundi waliokumbwa na mkasa huo John Frank akiangua kilio muda
mfupi baada ya kufanikiwa kutoka katika kisima cha mafuta katika kituo
cha kuuza mafuta cha Gapco.
Mmoja
wa mashuhuda ambae Said Ramadhan pia ni mfanyakazi katika sheli hiyo,
kisima cha mafuta ambacho mafundi hao walizama katika sheli ya GAPCO.
Wakati
huo fundi mwingine aliyefahamika kwa jina la Michael Moses amelazwa
katika chumba cha wagonjwa mahututi katika hospital ya mkoa wa Morogoro
akiwa na hali mbaya baada ya kukosa hewa wakati wakifanya matengenezo
kwenye sheli hiyo.
Mafundi wote ni wakazi wa Dar es salaam na wamekuja kwa ajili ya kazi hiyo.
No comments:
Post a Comment