Baba
mzazi wa mheshimiwa Tundu Antipas Lissu Mughwai na Mheshimiwa Christina
Lissu Mughwai amefariki dunia muda mfupi uliopita. Marehemu Augostino
Lissu Mughwai (84) amefariki katika hospitali ya taifa ya muhimbili
alipokuwa amelazwa akisumbuliwa na maradhi ya moyo kwa muda mrefu. Mungu
amlaze mahala pema peponi, Amina. Chadema
Blog inapenda kuchukua nafasi hii kukupa pole Mh Tundu Lissu kwa kufiwa
na Baba Mzazi. Tupo pamoja nawe katika kipindi hiki cha Majonzi na
Mwenyezi Mungu amlaze mzee wetu Mahali pema Peponi, Amina.SOURCE CHADEMA
DC ILALA AMALIZA MGOMO WA WAFANYAKAZI ZAIDI YA 1,500 WA KIWANDA CHA NAMERA,
GONGOLAMBOTO
-
Mkuu wa Wilaya ya Ilala, Mhe. Edward Mpogolo, amefanikiwa kumaliza mgomo wa
wafanyakazi zaidi ya 1,500 wa Kiwanda cha NAMERA kilichopo Gongolamboto,
jijini...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment