POLISI
wa Afrika Kusini wametoa waranti ya kukamatwa mwanasiasa wa hiyo
anayeleta utatanishi, Julius Malema ambaye alifukuzwa kutoka chama
tawala cha ANC.
Anatarajiwa kufikishwa mahakamani juma lijalo kuhusu mashtaka ya ku-ghu-shi fedha, rushwa, na wizi kwa njia za udanganyifu..endelea kupitia audiface jackson blogspot kupata habari kila siku.
Kamati maalumu ya uchunguzi, iitwayo "the Hawks", imekuwa ikichunguza shughuli za kibiashara za Malema.
Malema,
ambaye aliwahi kuwa mfuasi mkubwa wa Rais Jacob Zuma, amegombana na
washirika wake wa zamani, na akafukuzwa chamani, kwa kutoa wito kuwa
serikali ya Botswana inafaa kupinduliwa.
No comments:
Post a Comment