REFARII
mwenye ulemavu wa miguu (kiwete) Edward Chagula, almaarufu kama
Popobawa hivi karibuni aliwavutia mashabiki waliofurika katika Uwanja wa
Kanisa Katoliki Parokia ya Nundu, Nyakato, jijini Mwanza wakati
akichezesha mechi kati ya Home Boyz na Temeke FC zote za jijini
humo. source Global publishers
Mariam Ibrahim Ahimiza Matumizi ya Nishati Safi Mkuranga
-
*Na Mwandishi Wetu.*
*MBUNGE wa Viti Maalum Mkoa wa Pwani, Mariam Ibrahim, ameendelea
kuhamasisha matumizi ya nishati safi ya kupikia.*
*Ameyasema hayo le...
18 hours ago

No comments:
Post a Comment