Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, September 10, 2012

SBL YATOA MILIONI 17 KWENYE KAMPENI ZA WIKI YA NENDA KWA USALAMA

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akimkabidhi vifaa maalum kwa ajili ya kampeni ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi, Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga leo asubuhi makao makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Miradi ya Jamii wa SBL, Nandi Muyombela. Teddy alisema jumla vifaa hivyo vina thamani ya Shilingi Milioni 17.5. Wiki ya Nenda kwa usalama, yenye kauli mbiu; Pambana na ajali za barabarani kwa vitendo, zingatia sheria, mwaka huu itaazimishwa kitaifa mkoani Iringa, kuanzia Septemba 17, hadi 22.  

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa maalum kwa ajili ya kampeni ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Kulia ni Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi, Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga leo asubuhi makao makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam. 

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akimkabidhi vifaa maalum kwa ajili ya kampeni ya Wiki ya Nenda kwa Usalama, Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi, Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga leo asubuhi makao makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam. Kushoto ni Meneja Miradi ya Jamii wa SBL, Nandi Muyombela. 

Waandishi wa Habari katika zeozi hilo leo.

Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi, Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga akionyesha bango la kampeni hizo, lenye ujumbe Usinywe na Kuendesha, leo asubuhi makao makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam. 

Meneja Mawasiliano na Mahusiano wa Kampuni ya Bia ya Serengeti (SBL), Teddy Mapunda akizungumza wakati wa kukabidhi vifaa maalum kwa ajili ya kampeni ya Wiki ya Nenda kwa Usalama. Kulia ni Kamanda Mkuu wa Jeshi la Polisi, Usalama Barabarani, Mohamed Mpinga leo asubuhi makao makuu ya jeshi hilo, Dar es Salaam. 

No comments:

Post a Comment