Mufti
wa Tanzania, Issa Shaban Simba (pichani), ameitisha kikao cha dharula
cha Baraza la Mauramaa kujadili juu ya hatua za kuzichukua kutokana na
kutolewa kwa filamu inayodaiwa kukashimu dini ya Kiislam, huku akilaani
filamu hiyo.
Aidha Mufti amewataka waumini dini hiyo kuwa watuklivu wakati wakijiandaa kujadili suala hilo.
Katika
taarifa kwa vyombo vya habari iliyotolewa na Bakwata ilisema, kikao
hicho ndicho kitaamua la kufanya juu ya filamu husika.
Kwa mujibu wa taarifa hiyo, Mufti Shaban Simba amelaani kitendo cha kurushwa kwa filamu hiyo.
No comments:
Post a Comment