Profesa
Abdull Shariff, akiwasilisha mada yake kuhusu Wajibu na Dhima ya Vyombo
vya habari kuripoti habari za Muungano. katika Mkutano wa (Role of the
Media in the Union Debate) ulioandaliwa na Baraza la Habari Tanzania kwa
Waandishi wa habari wa Zanzibar.
Mzee
Hassan Nassor Moyo akizungumza na Waandishi akisisitiza jambo alipokuwa
akiwasilisha mada yake, katika mkutano wa waandishi katika ukumbi wa
hoteli ya Mazsons Shangani.
Muasisi
wa Muungano waTanzania na Zanzibar Mzee Hassan Nassor Moyo, akitowa Mada
yake kuhusu Historia ya Muungano wa Zanzibar na Tanganyika, kwa
Waandishi wa habari wa Zanzibar katika Ukumbi wa Hoteli ya Mazsons
Shangani, kuhusu Vyombo vya Habari katika Mjadala kuhusu Muungano wa
Tanganyika na Zanzibar, Endelea kufuatilia audiface jackson blogspot kujua kila kinachojiri kila saa.Mkutano huo umeandaliwa na Baraza la Habari Tanzania.
Mwakilishi
kutoka Jumuiya ya ANGOZA Zanzibar Hassan Khamis akichangia moja ya mada
zilizowasilishwa katika mkutano huo ulioandaliwa na Baraza la Habari
Zanzibar na kuwashirikisha Waandishi wa Habari Vyama vya Siasa na
Taasisi binafsi Zanzibar.
Kiongozi wa Chama cha CHADEMA Zanzibar Dadi Kombo Maalim, akichangia mada katika Mkutano huo.
Mwandishi wa Jabir Idrisa akichangia mada zilizowasilishwa katika mkutano huo ulioandaliwa na Baraza la Habari Zanzibar.
Mwakilishi
waJumuiya ya Wasioona Zanzibar Ahmeid Ali Omar, akichangia mada
zilizowasilishwa na kuzitaka taasisi husika kuwatayarishia CD Watu wenye
Ulemavu wa macho kupata habari kupitia njia hiyo ili waweze kuchangia
mjadala wa Katiba.
Mwandishi wa Habari wa Shirika la Utangazaji Zanzibar ZBC, Amina Juma akichangia mada katika mkutano huo.
Bi Hasina Hamadi akichangia mada katika Mkutano huo.
via lukaza blog
No comments:
Post a Comment