Rais
wa Kenya Mwai Kibaki katika picha ya pamoja na Spika wa Bunge la Afrika
Mashariki Margaret Zziwa (wa pili kushoto) na Wabunge wa Afrika
Mashariki mara baada ya kufungua na kuhutubia Bunge hilo lililoanza wiki
iliyopita jijini Nairobi, Kenya.
Wabunge wengine akiwemo Abdullah Mwinyi naye akisalimiana na Rais Mwai Kibaki wa Kenya
Wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki.
Sehemu ya wabunge wa Bunge la Afrika Mashariki wakimsikiliza Rais Kibaki
Maafisa
wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania katika picha ya pamoja na
Mbunge Shy-Rose Bhanji mara baada ya ufunguzi.
No comments:
Post a Comment