Huyu ndio beyonce wa tanzania kwajina halisi anajulikana kama mwanaisha idd,ana watoto wawili mapacha wa kizungu .
Anaishi msasani,hana simu na wala hajawahi kumiliki simu hapendi kwasababu kila mara anajikuta akipoteza akiwa na simu, pia hajawahi kwenda club yoyote zaidi ya NEW MAISHA CLUB,
"Maisha ndio home hata nikiumwa nakuja kulala hapahapa au kunywa dawa hapahapa sijawahi kukosa new maisha club napaona kama nyumbani,hata baba watoto wangu nilikutana nae new maisha club."
Miss triity live na beyonce wa tanzania kwenye stage
Mashabiki wakicheza na miss trinity na beyonce kwenye stage
Miss trinity akimshangaa beyonce wa tanzania
Hapa akitoa style zake zakujikunja kama kinyonga
MWENYEKITI CCM KIBAHA MJI AWATAKA WENYEVITI WAPYA KUACHA TABIA YA KUJIKWEZA
-
NA VICTOR MASANGU, KIBAHA
Mwenyekiti wa chama cha mapinduzi (CCM) Mwalimu Mwajuma Nyamka amewataka
wenyeviti wote wa serikali za mitaa kupitia tiketi ya ...
1 hour ago
No comments:
Post a Comment