RUFAA ya aliyekuwa Mbunge wa
Arusha Mjini, Godbless Lema imeshindwa kusikilizwa leo baada ya kuibuka
kwa hoja zaidi ya nne ambazo
zimesababisha kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe itakayopangwa tena na mahakama ya Rufaa.
zimesababisha kesi hiyo kuahirishwa hadi tarehe itakayopangwa tena na mahakama ya Rufaa.
Rufaa hiyo imeshindwa kuanza
kusikilizwa baada ya kuibuka kwa hoja nne zilizotolewa na wakili wa
upande wa mashtaka ,Alute Mughwai akisaidiwa na Modest Akida
wanaowawakilisha wajibu rufani ambao ni
Agness Mollel, Happy Kivuyo na Musa Mkanga.
Agness Mollel, Happy Kivuyo na Musa Mkanga.
Hoja hizo zilianza kutolewa na wakili Mughwai kudai
kuwa rufaa iliyokatwa na Lema kupitia kwa mawakili wake, Method Kimomogoro pamoja na Tundu Lissu imekosewa kwa kukiuka kanuni za mahakama ya Rufaa na Mahakama Kuu pia katika rufaa hiyo hakuna mhuri
wa mahakama wala tarehe .

Mughwai amehoji ni kwanini Lema
akimbilie kukata rufaa ndani ya siku 29 badala ya siku 60 kwani
hajapitia nakala ya hukumu ya awali hivyo endapo
angepitia hukumu hiyo pamoja na mawakili wake angeweza kujua kuna matatizo gani na ayarekebishe badala yake wamekata rufaa bila
kuangalia kasoro zilizojitokeza.
angepitia hukumu hiyo pamoja na mawakili wake angeweza kujua kuna matatizo gani na ayarekebishe badala yake wamekata rufaa bila
kuangalia kasoro zilizojitokeza.
Alisema ni lazima muhuri wa
mahakama uwe pamoja na tarehe na kutokana na umuhumu wa mhuri ndio maana
hata mtu wa kijijini anaposhtakiwa au kuhitaji msaada sehemu muhimu
inabidi aende kwa mtendaji wa kijiji
kupata barua yenye mhuri na kuhoji ni kwanini Lema amekimbilia kukata rufaa bila kuangalia kasoro zilizopo na kutoa rai kwa jopo la majaji hao kutupilia mbali rufani hiyo ya Lema kwasababu haikakidhi matakwa
ya kisheria.
Nao Wakili wa Lema ,Method
Kimomogolo alisema makosa yaliyotokea ni ya kibinadamu na yamefanywa na
mahakama na si Lema wala mawakili waokupata barua yenye mhuri na kuhoji ni kwanini Lema amekimbilia kukata rufaa bila kuangalia kasoro zilizopo na kutoa rai kwa jopo la majaji hao kutupilia mbali rufani hiyo ya Lema kwasababu haikakidhi matakwa
ya kisheria.
hivyo aliwasihi majaji hao kutotupilia mbali rufani yao kwani katika kesi kama hiyo ni lazima makosa madogo madogo yatokee na kusisitiza mahakama kutenda haki kwa Lema
No comments:
Post a Comment