Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, October 12, 2012

WADAU WA AIRTEL WAJITOKEZA KUKAGUA MAGARI YAO KWAAJILI YA USALAMA BARABARANI



Meja Anthony Mjema  akikagua gari la mfanyakazi wa Airtel bwana Herald Mwigune wakati Airtel ilipoendeleza juhudu zake za usalama barabarani kwa vitendo kwa kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa na kupata sticker za usalama barabarani. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco.
Meja Anthony Mjema   akibandika sticker ya usalama barabarani  katika gari ya mmoja wa wafanyakazi wa Airtel bwana Abadallah Gunda  mara baada ya kukalikagua , hii ni moja kati ya mwendelezo juhudu za Airtel kwa kutekeleza usalama barabarani kwa vitendo na kuwezesha magari ya wafanyakazi wake kukaguliwa. Zoezi hilo limefanyika katika makao makuu ya Airtel Morocco, nyuma ni baadhi ya wafanyakazi wa Airtel wakisubiri kukaguliwa.

No comments:

Post a Comment