Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, October 11, 2012

Warembo Miss Tanzania wahamasisha Utalii wa ndani, watembelea Bonde la Hifadhi ya Ngorongoro




WAREMBO wanaoshirikishindano la Redds Miss Tanzania 2012 leo walitembelea Mamlaka ya Hifadhi ya Ngorongoro na kujionea vitu mbalimbali katika bonde hilo ambalo lina mambo mengi ya ajabu miongoni mwa hifadhi.
Mbali na kujionea wanyama wa aina mbalimbali na ndege pia warembo hao walipata fursa ya kujifunza juu ya Bonde hilo ambalo lipo katika mchakato wa kuingia katika Maajabu ya dunia.
Zifuatazo ni picha mbalimbali za warembo hao wakiwa katika Bonde hilo la hifadhi ya Ngorongoro.





















No comments:

Post a Comment