Hii ndiyo ndinga ambayo mkali wa Bongo fleva ambaye pia anafanya
kweli kwenye muziki wa Dansi Bongo Jamaa anakwenda kwa jina la
H.Baba ambayo ameivuta juzi kati kufuatia kusaini mkataba na kampuni
moja kuwa ambayo sasa ndiyo itakuwa kila kitu kwenye kazi zake
sikiliza hapo chini alichokisema kuhusu Diamond kujisifia kuwa na
gari kali kuliko mastaa wote Bongo.
\<iframe width="560" height="315" src="http://www.youtube.com/embed/so4rT7PZtsY" frameborder="0" allowfullscreen></iframe>
No comments:
Post a Comment