Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, November 12, 2012

JINAMIZI LA AJALI LAZIDI KUITAFUNA MBEYA: SITA WAPOTEZA MAISHA KWENYE AJALI NYINGINE JIJINI MBEYA ENEO LA IMEZU ILIPOTOKEA AJALI YA WATOTO WAWILI HIVI KARIBUNI



BASI AINA YA TOYOTA HIACY  YENYE NAMBA ZA USAJIRI T245 AMH ILIYOGANWGA NA ROLI LA MIZIGO

HILI NDILO ROLI LILILOSABABISHA AJALI NA KUUA ABIRIA SITA
BAADHI YA MAITI ZIKIWA ZIMEPAKIWA KATIKA GARI YA POLISI
BAADHI YA MAJERUHI WAKIFIKISHWA KATIKA HOSPITALI YA RUFAA MBEYA
TAARIFA KAMILI YA AJALI HII TUTAWALETE MARA TU TUKIIPATA SAMAHANI SANA KWA PICHA AMBAZO TUMEWAONYESHA PICHA KWA HISANI YA CHALES MWAIPOPO

No comments:

Post a Comment