Kijana Priva
Elian wa Rombo mkoani Kilimanjaro, amefyeka sehemu zake za siri na
kuziondoa, kwa kile kilichoelezwa kuwa ni kugombaniwa na wanawake
wawili.
Baadhi ya mashuhuda wa tukio hilo, walidai kijana huyo alifikia uamuzi huo baada ya wanawake wawili kumgombea.
Walidai
kuwa alifikia uamuzi , mwaka huu saa 1:30 asubuhi baada ya kupandwa na
ghadhabu kutokana na usumbufu mwingi aliokuwa akiupata kutoka kwa
wanawake hao.
Walieleza kuwa mara baada ya kuchukua uamuzi huo,
alimwita mdogo wake ambaye hakutambulika jina na kumweleza kuwa achukue
viungo hivyo na kuwapelekea wanawake hao ili wavigombee.
“Hatujui
alitumia kifaa gani kujifyeka kwani kinaonesha ni kikali sana, kwani
baada ya kukata sehemu hizo nyeti, alimpa mdogo wake ili awapelekee
wanawake hao kwani ndicho kitu muhimu kwao na siyo yeye,” alisema mmoja
wa mashuhuda wa tukio hilo la kusikitisha. |
No comments:
Post a Comment