Waziri
wa Uchukuzi, Dkt. Harrison Mwakyembe(Kulia kwa Mkuu wa Chuo),
akisikiliza maelezo ya maendeleo ya Jengo Jipya la Chuo Cha
Usafirishaji(NIT) kutoka kwa Mkuu wa Chuo hicho, Mhandisi.Dkt. Zacharia
Mganilwa (aliyevaa suti ya Kaki), wakati Waziri wa Uchukuzi
alipotembelea Chuoni hapo Leo Mchana kutunuku Stashahada za Juu,
Stashahada za Kawaida na Shahada mbalimbali katika mahafali ya 28 ya
Chuo hicho,leo mchana
Mkuu wa
Chuo cha Usafirishaji(NIT), Mhandisi, Dkt. Zacharia Mganilwa(aliyevaa
suti ya Kaki), akimuonyesha Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe(Kulia kwa Mkuu wa Chuo), eneo ambalo Chuo kimelitenga kwa
ajili ya wenye Magari watakaomua kupaki magari yao na kwenda kutumia
Usafiri wa Treni inayotoka Ubungo kuelekea Stesheni jijini Dar es
Salaam.
Mkuu wa
Chuo cha Usafirishaji(NIT), Mhandisi.Dkt. Zacharia Mganilwa(aliyevaa
suti ya Kaki), akimueleza Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison
Mwakyembe(Kulia kwa Mkuu wa Chuo), namna ambavyo Maktaba ya Chuo hicho
inavyofanya kazi, chuoni hapo Leo Mchana. Dk Mwamkyembe alipita katika
maeneo mbalimbali kabla ya kuhudhuria mahafali ya 28 ya Chuoni hapo.
Baadhi ya
Wageni walioalikwa katika mahafali ya 28 ya Chuo cha Usafirishaji(NIT),
wakimsikiliza Mgeni Rasmi Waziri wa Uchukuzi, Dk. Harrison Mwakyembe
leo mchana katika Viwanja vya Chuo hicho.
Waziri wa
Uchukuzi,Dk. Harrison Mwakyembe akihutubia wahitimu pamoja na Wageni
waalikwa katika mahafali ya 28 ya Chuo cha Usafirishaji(NIT), Mahafali
hayo yamefanyika katika Viwanja vya Chuo hicho Leo Mchana, ambapo
wahitimu wa Kozi mbalimbali wametunukiwa Stashahada za Kawada,
Stashahada za Juu na Shahada.
Waziri wa
Uchukuzi.Dk. Harrison Mwakyembe(Aliyevaa kofia Nyekundu),akiwa katika
picha ya pamoja na Wahitimu wa kozi mbalimbali kutoka katika Chuo Cha
Usafirirshaji(NIT),jijini Dar es Salaam.
No comments:
Post a Comment