Shaban
Maranda na Farijala Hussein wakitoka katika Mahakama ya Hakimu Mkazi
Kisutu jijini Dar es Salaam leo baada ya kuhukumiwa kifungo cha kwenda
jela, ambapo Maranda amehukumiwa kifungo cha miaka miwili jela na
Farijala miaka mitatu jela baada ya kupatikana na kosa la kughushi na
kuisababishia serikali hasara ya sh. bilion 3.8.
Shaban
Maranda na Farijala Hussein wakipanda karandika la Jeshi la Magereza
kuendelea kutumikia vifungo vyao baada ya kuhukumiwa na Mahakama ya
Hakimu Mkazi Kisutu jijini Dar es Salaam. Maranda amehukumiwa na
mahakama hiyo kifungo cha miaka miwili na Farijala miaka mitatu baada ya
kupatikana na kosa la kughushi na kuisababishia serikali hasara ya sh.
bilion 3.8.Picha na Habari na Mdau Dande Francis
No comments:
Post a Comment