Wachezaji wa Simba SC |
MZUNGUKO wa kwanza wa Ligi Kuu ya Vodacom Tanzania Bara, unakamilishwa
wikiendi hii, leo na kesho kwa mechi saba kuchezwa katika viwanja tofauti.
Mabingwa watetezi, Simba leo wameonja joto ya jiwe baada ya kupigwa na Toto Africans ya
Mwanza Uwanja wa Taifa, Dar es Salaam wakati Mgambo JKT wakiifunga mdomo Azam FC
Uwanja wa Mkwakwani,
No comments:
Post a Comment