Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, November 30, 2012

THIS IS DIAMOND; ANGALIA PICHA ZA DIAMOND THE PLATNUM KATIKA KIPINDI CHA THE MBONI SHOW KINACHORUSHWA NA CHANEL YA EATV LEO SAA TATU YA USIKU



Hapa Diamond akiwa amefika eneo la tukio....akiwa na Mose Iyobo pamoja na Romy J
kwaajili ya kurecord kipindi cha The Mboni Show

Tukisalimiana na George Tyson  Director wa Kipindi cha The Mboni Show

Uwa najiona pasipo kumuomba Mwenyzi Mungu kabla ya kufanya chochote...
Najiona siwezi kufanya vizuri wala kutimiza lengo lango.

Hapa Mboni Masimba akipitia baadhi ya mambo kabla ya kuanza kipindi...
Tukiwa kwenye kipindi...





Picha ya Pamoja nikiwa na Mboni & Rj

Baada ya show kulizika Hali ilikuwa hivi....






No comments:

Post a Comment