Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akimfariji Mbunge wa Jimbo la Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid Mohamed nyumbani kwa Mbunge huyo Mikocheni jijini Dar es Salaam kufuatia kifo cha mke wake bibi Kisa Mohamed. Mwenyekiti wa CUF Prof Ibrahim Lipumba akimfariji Mhe Hamad Rashid Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Sharif Hamad akiweka mchanga katika kaburi la marehemu bibi Kisa Mohamed, mke wa Mbunge wa Wawi (CUF) Mhe. Hamad Rashid Mohd aliyezikwa katika makaburi ya Kisutu Jijini Dar es Salaam.
SMZ yasema Bima ya Wasafiri imeongeza mapato ya Utalii
-
Na Mwandishi Wetu, Arusha.
Serikali ya Mapinduzi Zanzibar (SMZ) imetumia Maonesho ya Kimataifa ya
Utalii ya Karibu-KiliFair 2026 kutangaza mafanikio ya m...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment