LULU MICHAEL;KESI YA LULU MICHAEL KUSOMWA LEO DESEMBA 17 2012
KESI
ya mauaji inayomkabili msanii wa filamu nchini, Elizabeth Michael
(Lulu), dhidi ya aliyekuwa msanii mwenzake, Steven Kanumba, inaendelea
kupigwa kalenda kwa madai kwamba upelelezi haujakamilika.
TAIFA STARS YAFUZU HATUA YA MTOANO AFCON
-
NA EMMANUEL MBATILO, MICHUZI TV
Timu ya Taifa ya Tanzania "Taifa Stars imefanikiwa kufuzu hatua ya mtoano
ya michuano ya Kombe la Mataifa Afrika (AFCON) kw...
-
*MAENDELEO BANK - PLC, inatarajia kufanya Mkutano mkuu wa 4 wa mwaka
Mkutano huo utakaowakutanisha Wanahisa wote utafanyika Juni 23 mwaka huu
kwenye ukum...
No comments:
Post a Comment