Mshabiki
wa chuo cha uhasibu arusha aliyefahamika kwa jina Ally akiwa amezirai
wakati akishangilia ushindi wa timu ya netball kutoka arusha baada ya
kunyakua komea la mashindano ya vyuo vikuu yanayoendelea jijini
tanga,Timu hiyo ya netball kutoka chuo cha uhasibu arusha wameshinda kwa
pointi 42 kwa 29 ya chuo cha uhasibu tanzan ia, Mechi iliyofanyiika
jioni ya leo mkoani tanga
Teknolojia : MISA TAN Yatumia Miradi ya Kimkakati Mwanza
-
Jitihada za kutumia uandishi wa habari kuchochea ukuaji wa uchumi na kuunga
mkono maendeleo nchini zimepewa kipaumbele katika kongamano la wadau wa
ha...
14 hours ago

No comments:
Post a Comment