Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, December 7, 2012

Zimwi la Ajali lazidi kuitesa Mbeya,Ajali Nyingine Yatokea Maeneo Ya Iyunga



Daladala ikiwa imeharibiwa vibaya.
Sura ya ndani ya daladala iliyopata ajali
Hii ni sehemu ya ndani viti vya nyuma ya daladala.

Sura ya daradara kwa mbele baada ya kugongwa kwa nyuma.
Lori lililogonga Daradara mbili likiwa limesimama eneo la pundamilia Iyunga.
Lori lililosababisha ajali lenye namba za usajili T 721 BYD likiwa limesimama..
Watu wakishangaa lori lililogonga na kusababisha maafa.

Sura ya mbele ya lori lililogonga daradara.
Watu wakishuhudia daradara iliyogongwa na kusababisha maafa. Hii ni Hii ni daradara yenye namba za usajili T 150 AJL likiwa limeharibiwa vibaya.
Daradara ikiwa imeharibika vibaya.
Daladala ambayo namba yake ya usajili haikuonekana ikiwa mtaroni baada ya kugongwa kwa nyuma na lori lililomshinda dereva. Kwa pembeni watu wanashuhudia.

No comments:

Post a Comment