Jeshi la Polisi Tanzania limewakamata zaidi ya wasichana wapatao 22 eneo
la Mwananyamala karibu na geti la Mwananyamala hospitali akiwemo mama
mtu mzima anayekadiliwa kuwa na umri wa miaka 70 ambaye alikuwa
anamiliki jumba lenye zaidi ya vyumba 40 ambalo utumika kufanyia ukahaba
maarufu kama danguro.
TMA Yabainisha Njia Rasmi za Kupata Taarifa za Hali ya Hewa
-
Na Mwandishi Wetu Michuzi Tv
MAMLAKA ya Hali ya Hewa Tanzania (TMA) imebainisha njia rasmi zinazotumika
katika usambazaji wa taarifa za hali ya hewa nchin...
3 hours ago

No comments:
Post a Comment