Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Monday, January 14, 2013

DOWNLOAN na SILILIZA NYIMBO MPYA TOKA KWA VIVA CONSIOUS PUNCH VOCAL

Huu Ni Wimbo Mpya Wa Viva Conscious Ikiwa ni mwaka 2013 Akimshirikisha Tash ..Star wa Chapia…Ngoma Ikipikwa chini ya Producer Mesen Selekta.Hii Ni Ngoma ya kwanza Kwa Mwaka Huu ya Star huyu wa Sugar cane ,Na Manguli wa Kindai. Na Pia ni ngoma ya kwanza kutoka katika album yake ambayo itatoka Mwishoni mwa mwaka itakayoitwa Brave Mind Vol2. Ambayo Nyimbo Baadhi kutoka Katika album yake zimeanza kuuzwa katika mtandao wa East African Tunes. Pakua Wimbo Hapa Upate kuendelea Kumfahamu vema Viva Conscious. CONTACTS: Email :Joseph-stephen@live.com +255713259377 www.facebook.com/Josephviva www.twitter.com/vivaconscious www.rapgenius.com/vivaconscious www.numberonemusic.com/vivaconscious www.reverbnation.com/label/vivaconscious www.vivaconscious.tk

No comments:

Post a Comment