Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 18, 2013

KITUO CHA KUSAMBAZA UMEME MJI MKONGWE ZANZIBAR CHAHARIBIKA, Mafundi wahaha kurejesha umeme, Balozi Seif awatembelea


 

Meneja Mkuu wa Shirika la Umeme Zanzibar Ndugu Hassan Ali akimueleza Makamu wa Pili wa Rais wa Zanzibar Balozi Seif alipofanya ziara fupi kuangalia harakati za wahandisi wa shirika la umeme kuondosha hitilafu iliyokikumba kituo cha kusambazia umeme mji mkongwe Darajani mjini Zanzibar.
Wahandisi wa Shirika la Umeme Zanzibar (ZECO) wakijitahidi kurejesha huduma za umeme baada ya kituo cha kusambazia umeme ndani ya mji mkongwe kilichopo Darajani Mjini Zanzibar kupata hitilafu.
Hadi kieleweke!

No comments:

Post a Comment