Lady
Jaydee na Gardner, wakipozi kwa picha baada ya kusaini kitabu cha
wageni katika lango kuu la kuingilia Marangu wakati wakianza safari yao
ya kupanda Mlima Kilimanjaro, leo asubuhi.
Lady Jaydee, akipata picha ya kumbukumbu katika ubao wa njia kuu.
Mkuu
wa Hifadhi ya Mlima Kilimanjaro, Erastus Lufungilo, akisalimiana na
Lady Jaydee, kabla ya kuanza safari yake ya siku sita ya kuupanda Mlima
Kilimanjaro.
No comments:
Post a Comment