Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Friday, January 4, 2013

MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI AZINDUA INTERNET CAFE YA IZZO BIZNESS MBEYA

INTERNET CAFE INAYOMILIKIWA NA MSANII WA MZIKI WA BONGO FLEVA , MIONDOKO YA HIP HOP NCHINI ,EMMANUEL SIMWIGA AKA IZZO BIZNESS  IMEZINDULIWA LEO JIJINI MBEYA, INTERNET CAFE HIYO AMBAYO IKO NDANI YA CHUO CHA TEOFILO KISANJI UNIVERSITY (TEKU) , IMEZINDULIWA  TAR 4 
NA MHESHIMIWA MBUNGE WA MBEYA ,JOSEPH MBILINYI,


No comments:

Post a Comment