Kama ulikuwa hujui mtuwangu wa nguvu mwezi uliopita MH .TEMBA alikuwa kati ya watu walioibiwa vifaa vya gari ambalo pia picha zake nilizi weka kwenye webst .Hii leo Temba ameamplify kupitia amplifaya kuibiwa vitu vya gari lake kwa mara ya tano.Mara ya kwanza aliibiwa akiwa na suzuki mikocheni mara ya pili akiwa na gari aina ya Gx100 akiwa diamond jubilee mara ya tatu chango’mbe akiwa na gari aina ya Gx110 mara nne Gx100.na mara ya tano Temba ameibiwa jana nyumbani kwake.
Rais Samia awaapisha Majaji 9 wa Mahakama ya Rufani, Ikulu Jijini Dar es
Salaam
-
*Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan
akimuapisha Mhe. Rabia Hussein Mohamed kuwa Jaji wa Mahakama ya Rufani
kwenye hafl...
16 minutes ago


No comments:
Post a Comment