Rais
Jakaya Mrisho Kikwete (yumo garini kushoto) akikagua sehemu ya kutua na
kupaa ndege ya uwanja wa Tabora leo Januari 10, 2013 mara baada ya
kuzindua rasmi ujenzi wake
Waziri
wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli (kulia) na Waziri wa Uchukuzi Dkt
Harrison Mwakyembe wakiongea wakati wa sherehe za uzinduzi wa ujenzi wa
uwanja wa ndege wa Tabora leo Januari 10, 2013
Rais
Jakaya Mrisho Kikwete akiongea na balozi wa Tanzania nchini Afrika
Kusini Mhe Radhia Msuya mara baada ya kutua katika uwanja wa ndege wa
Kimataikfa wa Julius Nyerere jijini Dar es salaam akitokea mkoani Tabora
alikokuwa katika ziara ya kikazi ya siku tano kukagua shughuli za
maendeleo na kuzindua miradi mbalimbali
SERIKALI
imetangaza hatua kubwa na kabambe za kufufua usafiri wa abiria na
mizigo, ikiwa ni pamoja na ununuzi wa mabehewa na injini za treni,
katika hatua kubwa za aina yake kuchukuliwa na Serikali kwa muda mrefu
katika kurekebisha usafiri wa treni nchin
No comments:
Post a Comment