Baadhi
ya wafanyakazi wa kiwanda cha maguni wakipambana na walinzi wa kiwanda
hicho ambao waliwazuia wapiga picha wa l.T.V na mpiga picha wa Mtandao
huu.picha wafanyakazi hao wakimkwida mlizi wa mtandao huu akimzuia mpiga
picha wa I.T.V aliyeshika kamera wakatia timbwili hilo likiendela mpiga
picha wa mtandao huu alikuwa bize kupiga picha tukio hilo.
Mmoja wa
wawafanyakazi wa kiwanda hicho aliyefahamika kwa jina la Manka Mushi
ambaye alioneka kuwa mstali wa mbele kutetea maslai yake na ya wenzake
akiwa chini ya ulizi mkali wa maaskali wa kiwanda hicho.
Kufutia
hali hiyo baadhi ya wafanyazi hao waliamu kupiga simu kwa mwandishi wa
mtandao huu ambaye alifika eneo la tukio na mwandishi mwenzake wa l.T.V
baada ya waandishi hao kufika wafanyazi hao walilipuka kwa furaha na
kumu kulisukuma geti hilo kwa lengo la kuwapitisha waandishi hao
Wafanyazi hao kwa umoja wao walifanikiwa kulivunja geti hilo na kuingia ndani
Hata
hivyo katika hali ya kushangaza walinzi wa kiwannda hicho waliwazuia
waandishi hao kuingia ndani ya kiwanda hicho jambo ambalo lilipingwa
vikali na wafanyakazi hao.
Kufutia
walinzi hao kuwa wachche walizidiwa nguvu na kundi la wafanyazi hao
ambao walifanikiwa kuwapitisha waandishia ambao hadi ofisi ya meneja wa
kiwanda hicho ambaye inasemeka ndiye aliyetoa amari ya waandishi hao
kutoluhusia kuingia ndani ya kiwanda hicho
Katika
hatua nyingian wakatin wafanyazi wazawa wakidai mafao yao wafanyakazi wa
kigeni[Wachini] walimu kuingia ndani ya basi dogo la kiwanda hicho na
kutoka nje
Basi la kiwanda hicho likiwaondoa wachina hao
Manka akiwaongza waandioshi hao ofisi ya meneja wa kiwanda hicho.
Baada
ya waandishi hao kuingia ndani ya kiwanda hicho kwa mbinde walishuhudia
baadhi ya wafanyazi wengine wakiendele na kazi ya kusindika maguni
kwenye kiwanda hicho.,Wakizungumza
na waandishi hao wafanayakazi hao waliofura hasira walidai kwamba
kutokana na kiwanda hicho kukabiliwa na ukata mkali uongozi uliamua
kuwapunguza kazi baadhi ya wafanyazi na kuahidi kuwalipa mafao yao ndani
ya wiki moja.'Wametuambia ijumaa tuje kuchukua mafao wetu tulipofika hapa wametuambia tuje jumamosi ya wiki nyingine ndio leo tumekuja wanatuambaie tuje jumatao huu ni usanii wanaotuletea mimi nimetoka moshi kuja kutafuta sikuja kuuza sura hapa hatuondoki mpaka tulipwe jasho letu'aliseme Manka Mushi kwa jazba kali ,audifacejackson.blogspot.com.Kwa mujibu wawafanyazi hao uongozzi huo umekuwa ukiwazungusha kuwalipa mafao yao hayo hivyo kuamu kudai haki yao kwa nguvu.
Waandishi walifika ofisni kwa meneja wa kiwanda hicho kwa lengo la kusiki akauli ya uongozi wa kiwanda hicho zidi ya madaia ya wafanyakazi hao,hata hivyo katika hali ya kushangaza meneo ja huo alioneka kuwakwepa waandishi hao kwa kutokea mlango wa nyumba..Wafanyazi hao walidai kwamba kiwanda hicho kina milikiwa na mbunge mmoja kutoka kanda ya kati ambaye pia ni mfanyabiashra maafuru jijiji Dar es salaama
No comments:
Post a Comment