Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, February 12, 2013

CHRIS BROWN MBISHI, CHEKI ILIVYOKUA KWENYE TUZO ZA GRAMMY 2013



Mwimbaji Frank Ocean ambae alikiri kwamba anashiriki mapenzi ya jinsia moja akiwa anapanda jukwaani baada ya kutangazwa mshindi wa Best Urban Contemporary Album, kwa mbali mwenye nguo nyeupe aliekaa ni Chris Brown ambae hawaelewani, wako kwenye beef ambayo ilimfanya Chris Brown kugoma kusimama wakati watu wengine waliposimama kumshangilia Ocean.
Mwimbaji Adele kama alimmaind Chris Brown kwa kitendo chake.
.
.
Pamoja na kwamba Adele alikua kakasirishwa na kitendo cha CB, alipiga nao picha kila mmoja kwa wakati wake.


No comments:

Post a Comment