Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, February 3, 2013

HIVI NDIVYO MSANII BUIBUI ALIVYO BAADA YA AJALI NA KUVUNJIKA MIGUU TUMUOMBEE APONE HARAKA


  Buibui amepata ajali ya pikipiki na kuvunjika miguu kwa sasa amelazwa katika wodi ya kibasila pale hospitali ya taifa muhimbili......''TUMUOMBEE APONE HARAKA''na pia tutoe sapoti ya msanii mwezetu ili aweze kupata unafuu mapema

No comments:

Post a Comment