Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Saturday, February 16, 2013

KUMRADHI:: MKONO WA ALBINO WAPATIKANA SUMBAWANGA



MKuu wa Mkoa wa Rukwa , Stella Manyanya  wa tatu kulia  akibubujikwa na machozi  jana usiku  baada ya  ya Kaimu Kamanda wa Polisi  Mkoa , Peter Ngusa (kulia)  akiwa  ameushikilia  mkono   ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa 
ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa  poroni kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga akiuonesha hadharani  mbele  ya majengo ya  Hospitali ya Mkoa mjini hapa , watatu kushoto  ni Mganga Mkuu wa Mkoa , Dk John Gurisha 

Mmoja wa askari  akifungua majani ya mgomba yaliyoufunga   mkono  ulionyofolewa hivi karibuni  kutoka kwa mwanamke mwenye ulemavu wa  ngozi (hayupo pichani) na kufukiwa  poroni kijijini Miangalua  wilayani Sumbawanga ambao akiuonesha hadharani  mbele  ya majengo ya  Hospitali ya Mkoa mjini hapa jana usiku jana Februari 14.

No comments:

Post a Comment