ABIRIA CHUNGA MZIGO WAKO SOKO KUU LA ARUSHA…..Mmoja wa vibaka ambaye hakutambuliwa jina lake ambao ni kundi la kuiba simu na fedha mifukoni akiwa amekamatwa na wananchi wenye hasira kwenye soko kuu la Arusha hivi karibuni. (Picha na Zainul Mzige wa Mo Blog).