Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Sunday, February 3, 2013

NEWS UPDATE::JENGO LA PPF TOWER LINAWAKA MOTO TAZAMA PICHA



PPF Tower inawaka moto muda huu, Jengo hilo ambalo lipo makutano ya Mtaa wa Ohio na Garden Avenue linawaka moto mkali juu kabisa, fire zimefika na jitihada za kuuzima moto huo zinaendelea ingawa imekuwa vigumu sana kufanikiwa kutokana na urefu wa jengo ni vitendea kazi wanashindwa kupanda.endelea kufuatilia mtandao huuu kwa habari zaidi

No comments:

Post a Comment