Baada
ya Anorld Kayanda kutosikika Redioni kwa muda mrefu watu wengi wamekuwa
na Maswali mengi juu ya hilo..Leo ameamua kuweka wazi kwa kupitia
facebook Page yake na kuandika Haya:
"Napenda
kutumia nafasi hii kwa namna ya pekee kabisa kuzungumza na Marafiki
ambao mara zote mmekuwa mkiuliza juu ya ukimya wangu Redioni. Jibu ni
fupi kabisa,imetokana na Maamuzi yangu ya KUREJEA MASOMONI hali ambayo
kwa bahati nzuri imepewa Baraka na Viongozi wangu. Pengine hutanisikia
Redioni lakini Mchango wangu wa namna mbali mbali utaendelea kuhifadhi
hadhi ya U-Super Brand wa Clouds Media Group. Masomo yameweza kuiingilia
Kazi yangu lakini kamwe hayataweza kuutenganisha urafiki wangu na
nyinyi. Tuendelee kuwasiliana hapa na katika Twitter @arnoldkayanda au
kwa namna yoyote tutakayojaliwa. Bless"
No comments:
Post a Comment