Huyu ndo ndo Bwana Mkubwa Willie Knuckles aliyekuwa waziri wa mambo
ya rais(Minister of Presidential Affairs) huko Liberia ambaye
alilazimika kujiuzulu baada ya picha zake zilizokuwa zikimwonyesha
akifanya tendo la ngono na wanawake wawili kusambazwa kwenye mtandao.
Kwakweli
bado haijaeleweka hasa walioamua kumsambaza mtandaoni walikuwa na lengo
gani naye zaidi ya kumdharirisha na kumfedhehesha namna hii.
Ilikuwa ni aibu kubwa sana kwake na kwa familia yake,serikali ambayo
yeye alikuwa ni mhimili wake na hata wananchi wote wa Liberia (picha hii
nimekata "croping" makusudi kulinda maadili ya mtanzania,lakini
shughuli iliyokuwa inafanyika nafikiri inaonekana).
No comments:
Post a Comment