Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Wednesday, March 13, 2013

MUONEKANO MPYA WA WEMA SEPETU BAADA YA KUZITIA MKASI NYWELE ZAKE.







Mrembo na Miss Tanzania wa zamani, Wema Sepetu ameamua kubaki natural baada ya kuzinyoa nywele zake. Kupitia Instagram, Wema ameshare picha hizo na kuandika, ‘me apa nimenyoa nywele’. .

No comments:

Post a Comment