Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Tuesday, March 26, 2013

TAZAMA PICHA JINSI MAFURIKO YALIVYOLETA SHIDA JIJINI DAR.


Mkazi wa Tabata Relini akiangua kilio baada ya maji kufurika nyumbani kwake

Taswira ya matokeo ya mvua iliyonyesha juzi jijini dar es salaam na kusababisha usumbufu mkubwa kwa wananchoi wa jiji hilo kupatwa na shida baada ya mvua hiyo kusababisha mafuriko baadhi ya maeneo ya jiji hilo ususani wale wanaoishi mabondeni,Wito wa audifacejackson blogspot ni kuwaomba wananchi hao kuhama mara moja na kuhaima maeneo yalio salama kabla hawajakumbwa na matatizo makubwa zaidi.Pili serikali kuchukua hatua za mara moja ya kutoa amri ya watu hao kuhama kabla hawajakumbwa na maafa na pili kuboresha miundombinu ya jiji hilo..

No comments:

Post a Comment