Mkuu
wa Kitengo cha Uzalishaji na Masoko wa DTB, Sylvester
Bahati,(kushoto)akiwaelezea waandishi wa habari,jinsi ya kutoa fedha
kwenye mashine za kutolea fedha za DTB kupitia huduma ya Vodacom M PESA
ambapo sasa wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia
mashine hizo popote walipo nchini,huduma hiyo imezinduliwa leo jijini
Dares Salaam pamoja nae ni Meneja mahusiano ya nje wa Vodacom
Tanzania,Bw.Salum Mwalim.
Meneja
mahusiano ya nje wa Vodacom Tanzania,Bw.Salum Mwalim,akitoa fedha kwa
mara ya kwanza baada ya kuzinduliwa kwa huduma ya kutoa fedha kupia
mashine za kutoa fedha za DTB kupitia huduma ya M PESA, ambapo sasa
wateja wanaotumia huduma hiyo wanaweza kutoa pesa kupitia mashine hizo
popote zilipo nchini anaeshuhudia ni Mkuu wa Kitengo cha Uzalishaji na
Masoko wa DTB, Sylvester Bahati.
UBIA WA BARRICK NA TWIGA WACHOCHEA UTENGENEZAJI ENDELEVU WA THAMANI KATIKA
UCHUMI WA TANZANIA
-
Rais na Ofisa Mtendaji Mkuu wa Barrick, Mark Bristow akizungumza katika
mkutano na waandishi wa habari
Na Kadama Malunde - Malunde 1 blog
Kampuni ya ...
2 hours ago
No comments:
Post a Comment