Social Icons

IMETOSHA

IMETOSHA

Thursday, April 11, 2013

Dkt Shein Azindua Mradi wa Umeme Kilowat 100 Zanzibar



Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akifungua pazia kuzindua mradi wa Njia ya Pili
ya Umeme,kutoka Ubungo Dar es Salaam mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na
Shirika la Misaada la MCC la Marekani,hafla hiyo ilifanyika jana
katika kituo kikuu cha Umeme Mtoni Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan
Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi
Dk. Ali Mohamed Shein,akikata utepe na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika
la ‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo, kama ishara ya
uzinduzi mradi wa Umeme wa Njia ya Pili ,kutoka Ubungo Dar es Salaam
mpaka Mtoni,ukiwa umefadhiliwa na Shirika la Misaada la MCC la
Marekani,hafla hiyo ilifanyika jana katika kituo kikuu cha Umeme Mtoni
Mjini Zanzibar.{Picha na Ramadhan Othman,Ikulu.}
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk.
Ali Mohamed Shein,(katikati) na wageni wake Balozi wa Marekeni nchini
Tanzania Alfonso Lenhardt,na Afisa Mtendaji Mkuu wa Shirika la
‘Millennium Challenge’ MCC,Daniel Yohannes Ceo,pamoja na Viongozi
wengine wakiangalia majarida yaliyocha pishwa kuhusu mradi huo wa
Umeme wakati wa Sherehe zilizofanyika uwanja wa Amaan Studium,{Picha
na Ramadhan Othman,Ikulu.}

No comments:

Post a Comment