Kwa
waliokuwa na hamu ya kumuona huyu naye akiwa nusu uchi na
kivazi cha kuogelea tuu, huu sasa ni wakati wao.....
Coca
Cola pop Star maarufu kwa jina la Shaa amedai kuwa yupo tayari
kuvua nguo zake hadharani na kuyaanika maungo yake nyeti na
kubakiza kichupi cha kuogelea tu endapo video yake mpya ya
Lava Lava itafikisha views 100,000 katika mtandao wa youtube
“Lava
Lava Video imefikisha views 44,000+ leo.Endapo itafikisha 100,000
basi ntavua nguo zote na kuogelea coco beach mchana kweupe lets do,”Alitweet Shaa katika mtandao wa kijamii wa Twitta na kuongeza
“Niliitupia kiutani tu nikidhani in one day kupata views elfu50 ni ngumu…sasa naona watu wameniamkia! Kwa spidi hii…mmmh…noma,”
No comments:
Post a Comment