Siku
moja baada ya kituo cha ITV kuonesha mzozo uliosababisha askari wa
usalama barabarani kuwa katika wakati mgumu kutokana na kukunjwa na raia
wakati akiamua ugomvi baina ya madereva wawili baada ya kutokea ajali ,
jeshi la polisi mkoa wa kipolisi Kinondoni limelaani na kutoa onyo kali
na kuongeza kuwa tukio hilo limelidhalilisha jeshi la polisi na kwamba
halivumiliki
RAIS DKT. SAMIA AZUNGUMZA NA WANANCHI DODOMA
-
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Dkt. Samia Suluhu Hassan
akizungumza na wananchi wa maeneo mbalimbali ya Jiji la Dodoma ...
3 hours ago


No comments:
Post a Comment