Mkurugenzi
wa Manispaa ya Dodoma Robert Kitimbo akiwaelekeza jambo maafisa wa
polisi walopokuwa kwenye Mkutano wa Hadhara ulioitishwa na wananchi wa
kitongoji cha Njedengwa hata hivyo mkutano huo ulivunjika ktokana na
wannchi kumkataa Mwenyekiti wao Denis Said.
Mkurugenzi
wa Manispaa ya Dodoma Robert Kitimbo Akijadiliana jambo na polisi
waliofika katika mkutano wa Hadhara uliovunjika kwa shinikizo la
wananchi waliokuwa wakimkataa Mwenyekiti wa kitongoji chao Njedengwa
Denis Said aliyekaa mwisho kushoto na anaemfuatia ni Mwenyekiti wa
kijiji Cha Dodoma Makulu Bedson Chidumule.
Wananchi
wa Kitongoji Cha Njedengwa Kata ya Dodoma Makulu Wakiwa na Mabango
yenye Ujumbe wa kumkataa Mwenyekiti walipokuwa kwenye Mkutano wa Hadhara
walioudai wananchi hao ambao hata hivyo ulivunjika kutokana na wananchi
hao kugoma Mwenyekiti huyo Denis Said asifungue mkutano.

No comments:
Post a Comment